Health Education
Maarifa ya Afya Ni Nguvu
Mtu anayeelewa afya yake ana nafasi nzuri zaidi ya kufanya maamuzi yenye uelewa.
Katika Masuka Health Care Center, tunaamini kuwa huduma bora ya afya inaanza na elimu. Ndiyo maana tunakuletea taarifa rahisi, zinazoeleweka na zenye lengo la kukusaidia kuelewa mambo mbalimbali yanayohusu afya na ustawi.
Jifunze kuhusu:
- Afya na wellness
- Lishe bora
- Virutubisho
- Kisukari
- Shinikizo la damu
- Kinga ya magonjwa
- Vipimo vya mwili
- Healthy lifestyle
- Afya ya familia
- Matumizi sahihi ya bidhaa za afya
- Health tips za kila siku
Elimu kabla ya uamuzi
Usiamini kila unachokiona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu afya.
Tafuta taarifa sahihi. Uliza maswali. Zungumza na wataalamu. Fanya maamuzi yenye uelewa.
Masuka Health Care Center — tunakuletea elimu ya afya ili uwe na uelewa zaidi kuhusu afya yako.