Nenda kwenye maudhui makuu

Ushauri wa Afya na Counseling

Huna Hakika Kuhusu Afya Yako? Ongea Nasi.

Wakati mwingine changamoto kubwa si kukosa huduma, bali kutokujua uanze wapi.

Unahitaji kuelewa afya yako? Unataka kupata mwongozo kuhusu lishe? Una maswali kuhusu virutubisho? Unataka kujua umuhimu wa vipimo vya mwili?

Masuka Health Care Center tupo kukusikiliza na kukupa mwongozo wa afya unaokusaidia kuelewa hatua inayofuata.

Ushauri wetu unaweza kukusaidia katika maeneo kama:

Usibaki na swali kuhusu afya yako

Wakati mwingine hatua ya kwanza ni kuuliza.

Wasiliana na Masuka Health Care Center leo.

Afya yako ni kipaumbele chetu.

Huduma Zinazohusiana

Elimu ya afya kwenye tovuti hii ni kwa madhumuni ya jumla ya kutoa taarifa na haipaswi kuchukua nafasi ya ushauri, uchunguzi au matibabu ya kitaalamu ya daktari. Endapo una dharura ya kiafya, tafadhali wasiliana na huduma za dharura za matibabu mara moja.